Friday, April 15, 2022

NAMNA YA KUKOPI MASWALI KUTOKA KWENYE WHATSAPP, KUYA-PASTE KWENYE ColorNote, NA KUANZA KUYAJIBU KISHA KUYATUMA KWETU



1. Nenda kwenye WhatsApp ulikotumiwa maswali. 

2. Kopi maswali. 



3. Fungua ColorNote, na u-paste maswali kwenye uwanja wa kuandikia. 



4. Anza kufanya/kuyajibu maswali hapo hapo kwenye ColorNote. 



5. Ukimaliza kuyajibu, yakopi tena, kisha yatume kwetu kwenye WhatsApp. 

6. Subiria matokeo kutoka kwetu. 


Kila la kheri! 


Kachele Online Spoken English Course (KOSEC) 

©2022. 



NAMNA YA KU-DOWNLOAD NA KUTUMIA APP YA 'ColorNote' KWENYE SIMU YAKO:



1. Download app ya 'ColorNote'



2. Isajili kwa email yako unayokumbuka password yake vizuri. 


KUANZA KUTUMIA 'ColorNote' App: 


3. Fungua app. 




4. Click kwenye alama ya kujumlisha (+). 




5. Click Text, na uwanja wa kuandikia utaonekana. 



6. Uwanja wa kuandikia. 


7. Ukimaliza kuandika, click Back, na maandishi yataji-save yenyewe. 




Kila la kheri! 

Kachele Online Spoken English Course (KOSEC) 

©2022. 


**** 


Kozi ya Kujifunza Kiingereza kwa Tsh 30,000/=

 

Hello!

Welcome to KACHELE ONLINE

Tunatoa Kozi ya Kujifunza Kiingereza: Kachele Online Spoken English Course (KOSEC) kwa Tsh 30,000/=

Hapa chini ni maelekezo ya namna ya kujiunga na kozi.

MAELEKEZO YA NAMNA YA KUJIUNGA NA KOZI HII YA KIINGEREZA:

KACHELE ONLINE SPOKEN ENGLISH COURSE (KOSEC): 

YALIYOMO:

(1) UTANGULIZI

(2) MADA ZINAZOFUNDISHWA

(3) MUUNDO WA KILA SOMO

(4) GHARAMA ZA KOZI

(5) NAMNA KUPOKEA NA YAKUFANYA MASWALI

(6) MATOKEO NA CHETI

(1) UTANGULIZI 

KOSEC ni Kozi ya Kujifunza Kiingereza kutoka Kachele Online

Kozi hii ina vipengele vifuatavyo: 

(1) Mada 12 zinazogusa maisha yetu ya kila siku

(2) Masomo 60

(3) Zaidi ya 'Episodes' 300. 

(4) Mazoezi zaidi ya 60 kutoka kwenye parts of speech, tenses, na pronunciation  

(5) Zaidi ya mifano 1,200 ya Mazungumzo Halisi ya maisha yetu

(2) MADA ZA KOZI:

Kozi hii ina Mada 12 kama ifuatavyo: 

[1] Salamu na Utambulisho

[2] Mazungumzo ya Msingi baada ya Kukutana

[3] Lugha ya Mazungumzo 

[4] Mazungumzo ya heshima

[5] Mazungumzo yasiyo ya heshima

[6] Safari na Ziara 

[7] Mambo mchanganyiko

[8] Mambo binafsi

[9] Masuala ya Familia

[10] Chakula na vinywaji

[11] Manunuzi

[12] Simu

(3) MUUNDO WA KILA SOMO

Kila somo moja lina SEHEMU kuu 3 tu. Ambazo ni:

1. Sehemu A: Masahihisho ya Zoezi lililopita.

2. Sehemu B: Somo lenyewe lenye 'Episodes' 5. 

3. Sehemu C: Zoezi jipya.

(4) GHARAMA ZA KOZI

Gharama za Kozi hii ni Tsh 30,000/= tu hadi Kozi yote inaisha

Unaweza kulipia gharama hizi kwa Awamu 3 kama ifuatavyo: 

(1) Mwanzoni: 15,000

(2) Katikati: 15,000

(5) NAMNA KUPOKEA NA YAKUFANYA MASWALI

(Namna ya kupokea maswali, kujibu, na kuyarudisha): 

[1] Download Diary app iitwayo 'ColorNote' (au Google Keep). Na hakikisha unaisajili kwa email yako. 

[2] Nikikutumia maswali, yakopi na uya-paste kwenye 'ColorNote' Diary. 

[3] Ukiwa kwenye 'ColorNote', anza kuyajibu kwa (ku-edit) kuweka alama ya tiki ☑️ kwenye jibu unaloona ni sahihi.

[4] Ukimaliza kujibu, kopi hayo maswali kisha nitumie tena kwenye WhatsApp.

[5] Nikisahihisha nitakurudishia majibu na 'marks' zake kwenye WhatsApp yako pia. 

[6] Mwisho kabisa nitakutumia masahihisho.

NB: Kuna video ya maelekezo zaidi ya namna ya kupokea, kufanya Zoezi na kurudisha majibu.

(6) MATOKEO NA CHETI

KACHELE ONLINE kupitia KOSEC itakutumia matokeo yote ya Jumla ya Kozi yako, na kisha utapewa cheti kama utambulisho baada ya kumaliza Kozi. 

KOZI ITAANZA LINI?

Kozi inaanza Jumatano tarehe 20-04-2022

Wahi kulipia kabla ya tarehe hiyo ili usikose Kozi hii muhimu.

LIPIA KUPITIA HALOPESA: 0622009566 au MPESA: 0765884936 (Jina: Emmanuel Kachele)

> Kisha tuma jina na ujumbe kututaarifu kuwa umefanya malipo.

> Mwisho wa kulipia ni tarehe 19-04-2022. 

"Let's learn together, let's be better together." 

Kachele Online Spoken English Course (KOSEC)

©2022 

_______________

Karibu sana

Emmanuel Kachele 

Founder: Kachele Online ©2016-2022. 


KWA KUJIFUNZA KIINGEREZA ZAIDI NA ZAIDI,

JIUNGE NA GROUP HILI LA WHATSAPP:👇

WHATSAPP GROUP LINK


🙏Karibu🙏


NAMNA YA KUKOPI MASWALI KUTOKA KWENYE WHATSAPP, KUYA-PASTE KWENYE ColorNote, NA KUANZA KUYAJIBU KISHA KUYATUMA KWETU

1. Nenda kwenye WhatsApp ulikotumiwa maswali.  2. Kopi maswali.  3. Fungua ColorNote, na u-paste maswali kwenye uwanja wa kuandikia.  4. Anz...